Quantcast
Channel: SAUTI YA BARAGUMU
Browsing all 25 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 24

HONGERA DA'MIJA KUBLOGU MIAKA SITANimepekenyua blogu zetu za Kiswahili (Tanzania) na kugundua blogu ya Da'Mija Shija Sayi (pichani) imetimiza miaka sita juzi tarehe 8. Huyu mdada ni miongoni mwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 23

YA KALE DHAHABUJamaa fulani yuko na jamaa yake Frank Mwasyeba baada ya mtihani mmoja wa taifa wa Kidato cha nne. Mwaka ni 1996. Nani anaweza kubashiri ni shule gani hii?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 22

NGUVU YA MABLOGUpichani mamblogu yalivyokuwa yakionekana leoMablogu mengi leo yalilipoti kifo cha mnajimu huyu. Pengine ni kwa umaarufu wake aliojijengea tanzania kwa zaidi ya miaka 40, umaarufu ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 21

KICHWA CHA HABARIHuku ku-balansi vichwa vya habari magazetini sasa balaa.Majira Ijumaa Mei 20

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 20

UCHOKOZI...!!"ACHA NINYWE KWA RAHA ZANGU MAANA NIMESHAUA ILE SHEITWAN USAMA! HAHAAAAAAAAAAAAAAAA"(Nukuu imetoka hapa)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 19

SOKO LA UHINDINI MBEYA LILIVYOPIGWA NYUNDOWazee wa jiji wameanza mpango wao wa kujenga soko la kisasa lilipokuwa soko la Uhindini liloungua miezi michache iliyopita. Kuanzia juzi nyundo mtindo mmoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 18

KINGO LEO'Mama yangu! huyu mbwa katumwa nini?''Ehu! haniachii tu''Shinzi!! kumbe...'

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 17

RENATHA BENEDICTO UNATAFUTWA HUKU...!!Mubelwa Bandio katika poziNdugu. Kwa mara nyingine nawakilisha ombi la kunisaidia kutangaza (wakati wowote upatapo nafasi) kuhusu Dada mdogo RENATHA BENEDICTO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 16

Never Joke a desperate person. Read on:There's this guy sitting at a bar, just looking at his drink. He stayslike that for half an hour. Then this big trouble-making truck driversteps next to him,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

UJINGA BUSARA WA FLEXIBLESsource: The Guardian (Tanzania)13/06/2011

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

GARI LINAUZWAMAZDA PREMACYYear / Month 2001Odometer 106,138 kmDisplacement 1,830 ccSteering RightTransmission AutomaticEx/Interior Color GrayFuel PetrolDoor 5No Of Passengers 5BEI MILIONI 15MAWASILIANO...

View Article

Article 13

ADIMIKONdugu mnaotembelea kibaraza hiki, samahani kwa kutotoa mpya. Niko safarini moro na dar alafu nimesahau modemu yangu mbeya. Nitarejea hewani hivi punde.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 12

VYUNGU VYA MAUANilikwisha kurudi jijini Mbeya tangu juma lililopita. Sijaweza kublogu kuwajulisha yatokanayo na safari yangu kwa sababu ambayo wote mnaweza KUBASHIRI. Naam wote mmepatia.Leo imetokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 11

DONDOSHA MKONOSWETA!!Mafinga Iringa.Mikoa ya Iringa na Mbeya inafanya kampeni kabambe ya kudongosha 'mkonosweta' kwa minajili ya kupunguza uwezekano wa maambukizi ya Ukimwi. Mbali na faida hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 10

KIGODA CHA NYERERE: KINA KASOROJE WEWE UNAIONA KAMA NINAVYOIONA MIMI. SOMA HAPA HABARI KAMILI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 9

MRISHO NGASSA: TUKIWEZESHWA TUNAWEZAMbongo Mrisho ngassa akikamua vilivyo na mchezaji wa Manchester United yeye akichezea Seattle Jana. Naam tukiwezeshwa ....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 8

KWAHERI PROF SAMUEL MUSHIProf Samuel Mushi (pichani)hatunaye. Nimeweka tanzia hii kama kumbukumbu yangu binafi kwani alikuwa mshauri wangu binafi wa kitaaluma (academic adviser )nilipokuwa UDSM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

KATUNI YA WIKI...Nionavyo mimi, lakini.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 6

NIKO 'NTWARA'Nimetembelea maeneo ya kusini mwa Tanzania. Mtwara hakika kumekucha.Picha ninazo tele na nitaziweka hapa hapa.MitaaniDaraja la Mkapa nikiwa njiani

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

HAPA NA PALE MTWARAOn my background is the Tanzania's naturally deepest port.In the streets with TIA colleagues

View Article
Browsing all 25 articles
Browse latest View live




Latest Images